Huku ikisalia mechi moja ya ligi kuu ya soka daraja la kwanza nchini Rwanda, AS Kigali wanaongoza ligi. APR FC imeichapa Rayon sports bao 1-0 katika uga wa Kigali Nyamirambo. Ilikuwa huzuni na majonzi ...
Klabu ya Al Hilal Benghazi ya Libya imetoka sare ya 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda katika mchuano wa Kombe la shirikisho barani Afrika. Klabu hiyo ya Libya itasalia Kigali kwa wiki moja wakisubiri ...