Asilimia 25 ya ushuru wa forodha uliowekwa na Marekani kwenye bidhaa kutoka Mexico na Canada umeaza kutekelezwa jana Jumanne. Wasiwasi unaongezeka kuhusiana na vita kamili ya kibiashara miongoni mwa ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema ataweka ushuru wa forodha wa asilimia 30 kwenye bidhaa zinazotoka kwenye Umoja wa Ulaya na Mexico kuanzia Agosti 1. Trump alituma barua kwenye mtandao wa kijamii ...
Je, Rais wa Marekani Donald Trump atafuata tishio lake la kutoza ushuru kwa bidhaa za Canada na Mexico mnamo Februari 1? Swali liko akilini mwa kila mtu leo Januari 31, wakati athari inaweza kuwa ...
"EU ni mbaya sana kwetu. Wanatutendea vibaya sana. Hawachukui magari yetu au bidhaa zetu za kilimo. Kwa kweli hawachukui kitu ambacho tunaweza kusema ni muhimu," rais wa Marekani amesema na kuongeza ...